Ratiba ya CRDB Federation Cup 2025/2026 – Mashindano ya CRDB Federation Cup msimu wa 2025/2026 yanaendelea kwa kasi, ambapo ratiba rasmi ya mzunguko wa nne imetangazwa ikihusisha vilabu mbalimbali kutoka Ligi Kuu na madaraja ya chini.

Ratiba ya CRDB Federation Cup 2025/2026

Ratiba hii inaonyesha mechi zitakazochezwa kuanzia tarehe 10 hadi 12 Aprili 2026 katika viwanja tofauti nchini Tanzania.

Ratiba ya CRDB Federation Cup 2025/2026

Ratiba ya Mechi za 16 Bora

Tarehe 10 Aprili 2026

  • Saa 16:00 — Geita Gold vs Mashujaa FC (Nyankumbu, Geita)

  • Saa 16:00 — JKT Tanzania vs Mbuni FC (Isamuhyo, Dar es Salaam)

Tarehe 11 Aprili 2026

  • Saa 18:30 — Young Africans vs TMA Stars (KMC, Dar es Salaam)

  • Saa 16:00 — Namungo FC vs TRA United (Majaliwa, Lindi)

  • Saa 16:00 — Coastal Union vs Pamba Jiji (Mkwakwani, Tanga)

Tarehe 12 Aprili 2026

  • Saa 21:00 — Azam FC vs Fountain Gate (Chamazi, Dar es Salaam)

  • Saa 16:00 — Singida Black Stars vs Mbeya City (Airtel, Singida)

  • Saa 18:30 — Simba SC vs Dodoma Jiji (Isamuhyo, Dar es Salaam)

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *