Ratiba ya CRDB Federation Cup 2025/2026 – Mashindano ya CRDB Federation Cup msimu wa 2025/2026 yanaendelea kwa kasi, ambapo ratiba rasmi ya mzunguko wa nne imetangazwa ikihusisha vilabu mbalimbali kutoka Ligi Kuu na madaraja ya chini.
Ratiba ya CRDB Federation Cup 2025/2026
Ratiba hii inaonyesha mechi zitakazochezwa kuanzia tarehe 10 hadi 12 Aprili 2026 katika viwanja tofauti nchini Tanzania.

Ratiba ya Mechi za 16 Bora
Tarehe 10 Aprili 2026
-
Saa 16:00 — Geita Gold vs Mashujaa FC (Nyankumbu, Geita)
-
Saa 16:00 — JKT Tanzania vs Mbuni FC (Isamuhyo, Dar es Salaam)
Tarehe 11 Aprili 2026
-
Saa 18:30 — Young Africans vs TMA Stars (KMC, Dar es Salaam)
-
Saa 16:00 — Namungo FC vs TRA United (Majaliwa, Lindi)
-
Saa 16:00 — Coastal Union vs Pamba Jiji (Mkwakwani, Tanga)
Tarehe 12 Aprili 2026
-
Saa 21:00 — Azam FC vs Fountain Gate (Chamazi, Dar es Salaam)
-
Saa 16:00 — Singida Black Stars vs Mbeya City (Airtel, Singida)
-
Saa 18:30 — Simba SC vs Dodoma Jiji (Isamuhyo, Dar es Salaam)
Pendekezo la Mhariri:
- Ratiba Kamili ya Kombe la Dunia FIFA 2026
- Motsepe Atetea Uamuzi wa CAF: Senegal Kunyang’anywa Ubingwa wa AFCON 2025