Singida Black Stars Yafumua Benchi la Ufundi
Singida Black Stars Yafumua Benchi la Ufundi, Yamteua Papy Kimoto Kuwa Meneja Mkuu, Aichukua Nafasi ya Othmen Najjar. Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi mabadiliko katika uongozi wake wa…
Singida Black Stars Yafumua Benchi la Ufundi, Yamteua Papy Kimoto Kuwa Meneja Mkuu, Aichukua Nafasi ya Othmen Najjar. Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi mabadiliko katika uongozi wake wa…
Fountain Gate Yaachana na Mohamed Laizer, Minziro Ateuliwa Kuinoa Timu. Klabu ya Fountain Gate FC imetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu, Mohamed Laizer, kufuatia mwenendo usioridhisha wa timu katika…
Timu 8 Zatinga Robo Fainali CRDB Federation Cup 2026, Hatua ya 16 bora ya CRDB Bank Federation Cup imekamilika rasmi, huku timu nane zikifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya…
Simba Yatinga Robo Fainali CRDB Federation Cup Baada ya Kuichapa Dodoma Jiji 3-1. Klabu ya Simba SC imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya CRDB Bank Federation Cup baada ya…
Andy Robertson Akaribia Kujiunga na Tottenham, Yategemea Spurs Kusalia EPL. Beki wa kushoto wa Liverpool FC, Andy Robertson (31), ameripotiwa kufikia makubaliano ya awali ya kujiunga na Tottenham Hotspur ifikapo…
Ratiba Hatua ya 16 Bora CRDB Federation Cup 2026 Leo, Mashindano ya CRDB Bank Federation Cup yanaendelea kushika kasi huku ratiba ya hatua ya 16 bora ikitangazwa rasmi, ikijumuisha michezo…
Maxi Nzengeli Aipa Ushindi Yanga vs TMA Stars Kombe la Shirikisho CRDB. Klabu ya Young Africans SC imefanikiwa kupata bao muhimu la kuongoza katika mchezo wa hatua ya 16 bora…
Arsenal Yafungwa 2-1 na Bournemouth, Mbio za Ubingwa EPL. Klabu ya Arsenal FC imepata pigo kubwa katika mbio za kuwania taji la Premier League baada ya kupoteza kwa mabao 2-1…
CR Belouizdad Yachapwa 1-0 na Zamalek Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2026. Katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya CAF Confederation Cup, klabu ya CR Belouizdad imepata matokeo yasiyoridhisha…
Habibu Kyombo Atimukia NAPSA Stars Akitokea Mbeya City, Klabu ya NAPSA Stars imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji Habibu Haji Kyombo kama mchezaji huru akitokea Mbeya City. 🇹🇿 Habibu Kyombo Atimukia NAPSA…