Bernardo Silva Atangaza Kuondoka Man City Baada ya Miaka 9 ya Mafanikio, Kiungo mahiri wa Manchester City, Bernardo Silva, ametangaza rasmi kuwa ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu wa 2025/26, akihitimisha safari yake ya mafanikio ya takribani miaka 9.

Silva alijiunga na City mwezi Julai 2017 akitokea AS Monaco, na tangu wakati huo amekuwa mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi hicho.

Bernardo Silva Atangaza Kuondoka Man City Baada ya Miaka 9 ya Mafanikio

Mchango Wake Manchester City

Katika kipindi chake klabuni:

  • Amecheza mechi 297
  • Amefunga mabao 45 kwenye Premier League
  • Ametoa assists 50
  • Ameshinda mataji 6 ya EPL
  • Ametwaa taji 1 la UEFA Champions League

Bernardo Silva Atangaza Kuondoka Man City Baada ya Miaka 9 ya Mafanikio

Mchango wake umeifanya Manchester City kuwa moja ya klabu bora zaidi barani Ulaya katika kipindi hicho.

Kuondoka kwa Bernardo Silva kunaashiria mwisho wa enzi muhimu ndani ya Manchester City. Atakumbukwa kama mmoja wa wachezaji waliotoa mchango mkubwa katika mafanikio ya klabu hiyo katika muongo huu.

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *