Ratiba ya Kombe la Muungano 2026, Ratiba Kamili ya Robo Fainali, Nusu Fainali na Fainali 2026: Yanga SC, Simba SC na Azam FC Kupambana Kusaka Ubingwa
Mashindano yanaingia katika hatua za mwisho zenye ushindani mkubwa, ambapo timu mbalimbali zinajiandaa kwa vita ya kuwania taji. Ratiba robo fainali, nusu fainali na fainali imeonesha mwelekeo wa michuano hii, huku vilabu vikubwa kama Yanga SC, Simba SC na Azam FC vikitarajiwa kuwa na ushindani mkali dhidi ya wapinzani wao.
Ratiba ya Kombe la Muungano 2026
Ratiba ya Robo Fainali
Hatua ya robo fainali itaanza kwa michezo minne muhimu itakayochezwa kwa siku tofauti:
- Aprili 21; Saa 1:15 usiku
Yanga SC vs Muembe Makumbi City - Aprili 22; Saa 1:15 usiku
KVZ FC vs Azam FC - Aprili 23; Saa 10:15 jioni
Mlandege FC vs Singida BS - Aprili 23; Saa 2:15 usiku
Simba SC vs Mafunzo SC

Ratiba ya Nusu Fainali
Washindi wa robo fainali watakutana katika hatua ya nusu fainali kama ifuatavyo:
- Aprili 25; Saa 2:15 usiku
KVZ / Azam FC vs Yanga SC / Muembe Makumbi - Aprili 26; Saa 2:15 usiku
Mlandege / Singida BS vs Simba SC / Mafunzo
Ratiba ya Fainali
- Aprili 29; Saa 2:15 usiku
Ratiba hii inaonesha wazi kuwa mashindano yanaelekea katika hatua ya kilele yenye mvuto mkubwa. Ushindani unatarajiwa kuwa mkali katika kila hatua, hadi kufikia fainali itakayochezwa Aprili 29.
Pendekezo la Mhariri:
- Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026
- Msimamo wa PBZ Ligi Kuu Zanzibar 2025/2026
- Msimamo wa Ligi ya Championship 2025/26, Ligi Daraja La Kwanza
- Ratiba Mechi Zilizobaki za Yanga Ligi Kuu NBC 2025/26