Timu Zitakazoshiriki Muungano Cup 2026, Mashindano ya Muungano Cup yanatarajiwa kufanyika kuanzia Aprili 21 hadi 26, 2026, huku orodha ya timu zitakazoshiriki ikitangazwa rasmi.

Mashindano hayo yanayolenga kuimarisha ushindani na kukuza vipaji vya soka katika ukanda wa Afrika Mashariki, yamevutia jumla ya timu nane kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Young Africans SC, mabingwa watetezi watakuwa moja ya timu katika mashindano yaliyopangwa kufanyika Aprili 21-27 katika Uwanja wa New Amaan mjini Zanzibar.

Mashindano hayo yatazikutanisha timu nane kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kuadhimisha miaka 60 ya Muungano. Mwaka jana Young Africans SC iliifunga JKU FC bao 1-0 katika fainali na kushinda Kombe. Mshambuliaji Max Nzengeli alifunga bao pekee.

Timu Zitakazoshiriki Muungano Cup 2026

Timu Zitakazoshiriki Muungano Cup 2026
Timu Zitakazoshiriki Muungano Cup 2026
  • Simba SC
  • Young Africans SC
  • Singida Black Stars
  • Azam FC
  • Mlandege FC
  • Muembe Makumbi
  • Mafunzo FC
  • KVZ FC

Ushiriki wa klabu kubwa kama Simba SC, Young Africans na Azam FC unaongeza ushindani mkubwa katika michuano hiyo. Aidha, timu za Zanzibar kama Mlandege FC na KVZ zinatarajiwa kutoa ushindani mkali kutokana na uzoefu wao katika mashindano ya ndani.

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *