Ratiba Hatua ya 16 Bora CRDB Federation Cup 2026 Leo, Mashindano ya CRDB Bank Federation Cup yanaendelea kushika kasi huku ratiba ya hatua ya 16 bora ikitangazwa rasmi, ikijumuisha michezo kadhaa mikubwa inayotarajiwa kuvutia mashabiki wengi nchini.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo, michezo yote itachezwa Jumapili, Aprili 12, huku timu mbalimbali zikiwania nafasi ya kusonga mbele katika hatua ya robo fainali.

Ratiba Hatua ya 16 Bora CRDB Federation Cup 2026 Leo

  • Simba SC vs Dodoma Jiji FC – Saa 10:00 jioni
  • Singida BS vs Mbeya City FC – Saa 10:00 jioni
  • Namungo FC vs Tanzania Revenue Authority FC – Saa 10:00 jioni
  • Azam FC vs Fountain Gate FC – Saa 1:00 usiku

Michezo hiyo pia inatarajiwa kurushwa moja kwa moja kupitia Azam Sports, jambo linalotoa fursa kwa mashabiki kufuatilia kwa karibu zaidi ushindani huo.

Ratiba Hatua ya 16 Bora CRDB Federation Cup 2026 Leo
Ratiba Hatua ya 16 Bora CRDB Federation Cup 2026 Leo

Hatua ya 16 bora ni moja ya hatua muhimu katika michuano ya mtoano, ambapo kila timu inalazimika kucheza kwa umakini mkubwa ili kuepuka kuondolewa mapema. Timu kubwa kama Simba SC na Azam FC zinaingia katika michezo hii zikiwa na presha ya kufanya vizuri, huku timu ndogo zikisaka kufanya surprize.

Kwa upande wa ushindani, mechi nyingi zinaonekana kuwa na uwiano mkubwa, hasa kwa kuzingatia mwenendo wa timu katika ligi kuu na mashindano ya ndani.

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *