Ratiba Robo Fainali CRDB Federation Cup 2026, Simba vs TRA, Yanga Kukutana na JKT Tanzania. Ratiba ya hatua ya robo fainali ya CRDB Bank Federation Cup imetangazwa rasmi, ikionesha michuano mikali inayotarajiwa kuamua timu zitakazofuzu hatua ya nusu fainali.

Ratiba Robo Fainali CRDB Federation Cup 2026

Mechi za Robo Fainali

  • Coastal Union 🆚 Singida Black Stars
  • Simba SC 🆚 Tanzania Revenue Authority FC
  • JKT Tanzania 🆚 Young Africans SC
  • Mashujaa FC 🆚 Azam FC

Nusu Fainali

  • Mshindi wa Simba/TRA 🆚 Mshindi wa Coastal/Singida
  • Mshindi wa JKT/Yanga 🆚 Mshindi wa Mashujaa/Azam
Ratiba Robo Fainali CRDB Federation Cup 2026
Ratiba Robo Fainali CRDB Federation Cup 2026

Droo hii imeleta mvuto mkubwa, hasa mchezo kati ya JKT Tanzania na Young Africans SC ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Kwa upande mwingine, Simba SC wanakutana na TRA katika mchezo unaoonekana kuwa na ushindani wa kiufundi, huku Azam FC wakikabiliwa na Mashujaa FC.

Robo fainali ya CRDB Federation Cup 2026 inaonekana kuwa na ushindani mkali na mechi zenye mvuto mkubwa. Mashabiki wanatarajia kuona nani ataibuka na kuingia nusu fainali kuelekea taji la mashindano haya muhimu nchini.

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *