Vilabu Bora Afrika kwa Miaka 5 CAF Club Ranking 2026, Shirikisho la soka barani Afrika, Confederation of African Football, limetoa orodha ya viwango vya vilabu (CAF Club Ranking) kwa kuzingatia mafanikio ya timu katika mashindano ya kimataifa ndani ya kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Vilabu Bora Afrika kwa Miaka 5 CAF Club Ranking 2026

Vilabu 10 Bora Afrika (Miaka 5 Iliyopita)

Orodha hiyo inaonyesha ushindani mkubwa kati ya vilabu vikubwa barani Afrika:

  1. Mamelodi Sundowns — pointi 68
  2. Al Ahly SC — pointi 66
  3. Espérance Sportive de Tunis — pointi 58
  4. RS Berkane — pointi 57
  5. Zamalek SC — pointi 49
  6. Pyramids FC — pointi 48
  7. USM Alger — pointi 47
  8. AS FAR — pointi 41
  9. Al Hilal Omdurman — pointi 39
  10. Simba Sports Club — pointi 38
  11. CR Belouizdad — 38 pts 🇩🇿
  12. Young Africans — 35 pts 🇹🇿
  13. Wydad AC — 32 pts 🇲🇦
  14. ASEC Mimosas — 24 pts 🇨🇮

Vilabu Bora Afrika kwa Miaka 5 CAF Club Ranking 2026

Baadhi ya vilabu maarufu vilivyopata nafasi katika viwango hivyo ni pamoja na:

  • CR Belouizdad — nafasi ya 11 (pointi 38)
  • Wydad AC — nafasi ya 13 (pointi 32)
  • Orlando Pirates — nafasi ya 19 (pointi 20)
  • TP Mazembe — nafasi ya 20 (pointi 20)
  • Raja CA — nafasi ya 21 (pointi 17)
  • Azam FC — nafasi ya 38 (pointi 5)

Viwango vya CAF hutumika kupima mafanikio ya vilabu katika mashindano ya kimataifa kama:

  • Ligi ya Mabingwa Afrika
  • Kombe la Shirikisho Afrika

Pia vina athari katika upangaji wa makundi na nafasi za kushiriki mashindano hayo.

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *